JIFUNZE KUTENGENEZA JUISI YA KAROTI NANASI NA TANGAWIZI
.jpg)
JIFUNZE KUTENGENEZA JUISI SAFI KABISA YA NANASI TANGAWIZI NA KAROTI NI RAHISI SANA NA PIA INAONGEZA SANA HAMU YA KULA KWA MTOTO AU MTU MZIMA AKIWA AMEPOTEZA HAMU YA KULA. MAHITAJI 1 450 grams au nanasi 1 kubwa 50 gramsTangawizi osha na menya 1 Carrot ya wastani osha menya katakata vipande vidogo 5pc Ice cubes FATILIA MAFUNZO NA JINSI YA KUANDAA KATIKA PICHA HAPO CHINI Muda wa maandalizi : Dakika 15 Muda wa mapishi : Dakika 15 Idadi ya walaji : Watu 2 Huu ni muonekano wa vyakula vyako Menya nanasi kisha toa ile sehemu ngumu ya kati kisha kata kata vipande vidogo. Baada ya kukata kata nanasi vipande vidogo kisha kata karoti na tangawizi na weka katka bleda au (or juicer). Saga vizuri ilainike na kisha chuja kwa chujio. Chuka vipande vya barafu na weka katika bakuli safi ulilochuja ili ipoe na uweze mpatia mnywaji. WATENGENEZEE FAMILIA WAFURAHIE KINYWAJI HIKI SAFI WAKATI HUU WA JOTO KALI SANA NA HASA KWA WALE WAVIVU WA KUNYWA MAJI HII NI NJIA MOJA WAPO YA KUZOEA NA KUJIFUNZA KU...