Posts

JIFUNZE KUTENGENEZA JUISI YA KAROTI NANASI NA TANGAWIZI

Image
JIFUNZE KUTENGENEZA JUISI SAFI KABISA YA NANASI TANGAWIZI NA KAROTI NI RAHISI SANA NA PIA INAONGEZA SANA HAMU YA KULA KWA MTOTO AU MTU MZIMA AKIWA AMEPOTEZA HAMU YA KULA. MAHITAJI 1 450 grams au nanasi 1 kubwa 50 gramsTangawizi osha na menya 1 Carrot ya wastani osha menya katakata vipande vidogo 5pc Ice cubes FATILIA MAFUNZO NA JINSI YA KUANDAA KATIKA PICHA HAPO CHINI Muda wa maandalizi : Dakika 15 Muda wa mapishi : Dakika 15 Idadi ya walaji : Watu 2 Huu ni muonekano wa vyakula vyako Menya nanasi kisha toa ile sehemu ngumu ya kati kisha kata kata vipande vidogo. Baada ya kukata kata nanasi vipande vidogo kisha kata karoti na tangawizi na weka katka bleda au (or juicer). Saga vizuri ilainike na kisha chuja kwa chujio. Chuka vipande vya barafu na weka katika bakuli safi ulilochuja ili ipoe na uweze mpatia mnywaji. WATENGENEZEE FAMILIA WAFURAHIE KINYWAJI HIKI SAFI WAKATI HUU WA JOTO KALI SANA NA HASA KWA WALE WAVIVU WA KUNYWA MAJI HII NI NJIA MOJA WAPO YA KUZOEA NA KUJIFUNZA KU...

JIFUNZE KUTENGENEZA JUISI YA TIKITI MAJI NA LIMAO

Image
JUISI YA TIKITI MAJI NA LIMAO NOI SAFI SANA SANA MAHITAJI 5 kg ya Watermelon 180gram juice ya limao 80 gram ya asali mbichi 1 fungu majani ya Mint vipande vya barafu au Ice Cubes, JINSI YA KUTENGENEZA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI Muda wa maandalizi : dakika 15 Muda wa mapishi : dakika 15 Idadi ya wanywaji : Watu 4 Kiwango cha limao kinaweza kua gram 120 hadi gram 240 hii hutegemea na kiwango cha sukari katika tikiti maji au Kata kata watermelon katika vipande vidogo, menya ngozi na kumbuka kutoa mbegu. Chukua vipande vya watermelon saga pamoja na juice ya limao Kisha ichuje katika chujio safi baada ya kuisaga Kisha weka ice cube pamoja na majani ya mint katika jagi. Kisha mimina juice katika jagi lako lenye barafu na mint Kisha mimina asali mbichi kwenye mchanganyiko wa juisi na ukoroge ichanganyike. Kihsa mpatie mnywaji ikiwa ya baridi weka ice cubes na majani ya mint kwa kupambia. Huu ni muonekano safi kabisa baada ya kupamba kwa jani la mint na kuongeza ice cub...

JIFUNZE KUTENGENEZA JUISI YA EMBE BICHI

Image
JIFUNZE KUTENGENEZA KINYWAJI HIKI SAFI SANA CHENYE VIUNGO KWA KUTUMIA EMBE BICHI LA KUCHOMA MAHITAJI 350 grams Embe la kijani, lioshe vizuri 5 pc ice cubes , Mapande ya barafu 1 lita maji safi baridi 2 kijiko kidogo cha chai Cumin Powder 2 kijiko kidogo cha chai chumvi 1/4 kijiko kidogo cha chai pili pili manga 2 kijiko kidogo cha chai Sukari majani fresh ya Mint kwa kupambia JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAELEZO HAPO CHINI Muda wa maandalizi : Dakika 15 Muda wa mapishi : Dakika 15 Idadi ya walaji : Watu 2 Kuna njia 3 za kuandaa juisi hiib ya embe. 1. Chemsha embe kisha liache lipoe na utoe ngozi ya juu. KIsha toa nyama yote na saga katika mashine kuanzai hapo unafata maelezo kama picha zinavyoonyesha kuanzia step ya saba. 2. Chukua embe kisha lioshe na umenye katakata na weka katika preasure cooker kwa dakika kumi .Kisha cha lipoe na endelea na maelezo kama picha inavyoonyesha Step ya 7. Asili ya juisi hii ni kutoka india na kinamama walikua wanachoma maembe kwa mkaa wakiamini ...

JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA JUISI YA MCHANGANYIKO WA MATUNDA

Image
KAMA WEWE NI MVIVU KUNYWA MAJI BASI ANZA KUJIFUNZA KWA KUNYWA KINYWAJI HIKI KILICHOKAMILIKA KISHA POLE POLE UTAANZA KUYAPENDA MAJI MAHITAJI 450 grams Nanasi 50 grams Tangawizi fresh osha vizuri menya 1 Carrot, chop chop Ice cubes JINSI YA KUANDAA FATILIA PICHA NA MAFUNZO HAPO CHINI Muda wa maandalizi : Dakika 15 Muda wa mapishi : Dakika 15 Idadi ya wanywaji : watu 2 Tunda la nanasi na carrot vinachangia sana sukari yote ambayo uisi inatakiwa iwenayo. Tangawizi inaweka uwiano sawa wa ladha kati ya nanasi na karoti. Kama sio mpenzi wa Tangawizi sio lazima kuitumia, pia kama ni mpenzi wa nanasi au karoti unaweza zidisha kimoja wapo ili upate ladha halisi ya unachokipenda. Tangawizi: Inategemea na ubora wa tangawizi, unaweza kuhitaji nyingi zaidi au wastani chamsingi uweze pata harufu mwanana katika juisi yako {aroma}. Menya vizuri nanansi yako kisha katakata vipande vidogo Chukua vipande vya nanasi, carrot na tangawizi kisha saga kwenye blenda au food processor (au juicer). Saga vizuri ...